Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Pole sana ndugu, mimi nimenunua simu haina hata wiki nimepasua sababu ni hii 😂😂Aisee kila kukicha nasahau, apa nilipo naugulia maumivu maana leo tena nimekula loss.
nasubiri hawa masandawana wamsasambue uto furaha yangu irudi vinginevyo...
Kabisa 😂😂 boda imeniangushia simu juzi kati tu 😂Kama Hauna haraka usipande boda boda.
Hii mbaya sana aisee mtu anaweza hisi ni masihara kumbe kweli aiseeNimedondosha sana Pesa kwa kuweka mfuko mmoja na Simu hadi nilikuwa najisemea au ndio "chuma ulete" yenyewe.
Kabisa aiseeUsimwamini yeyote ishi kwaakili
AiseeMi juzi sarafu yangu tua mia tano.
Sahihi kabisaMAOMBI NA SHUKRANI NI MUHIMU SANA
Hahah 😁😁 bado unamatumaini kumbeKwaniaba ya sab ya dakika za mwisho ya chama tawalaa sekretarieti ya wazawa wa mjini itahakikisha litafanyiwa kazi
Niliwahi kutumbukia kwenye shimo kisa kuchati barabarani sitasahau hiiUsitembee umbali mrefu bila kugeuka nyuma, na usipende tumia simu kuchart unapotembea labda kuongea.