Binadamu kukumbushana

Binadamu kukumbushana

Kwaniaba ya sab ya dakika za mwisho ya chama tawalaa sekretarieti ya wazawa wa mjini itahakikisha litafanyiwa kazi
 
Aisee kila kukicha nasahau, apa nilipo naugulia maumivu maana leo tena nimekula loss.

nasubiri hawa masandawana wamsasambue uto furaha yangu irudi vinginevyo...
 
Aisee kila kukicha nasahau, apa nilipo naugulia maumivu maana leo tena nimekula loss.

nasubiri hawa masandawana wamsasambue uto furaha yangu irudi vinginevyo...
Pole sana ndugu, mimi nimenunua simu haina hata wiki nimepasua sababu ni hii 😂😂
 
Hakikisha mifuko ya suruali zako ni mirefu lakini pia haijatoboka.
 
Usitembee umbali mrefu bila kugeuka nyuma, na usipende tumia simu kuchart unapotembea labda kuongea.
 
Back
Top Bottom