Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Kinaitwaje hicho kitabu mkuu?nitafutie hata link tafadhali....Hapana TUNAWAPENDA
Kitabu kinaitwa "Goal diggers guide, how to get what you want from men without giving it up "- kimeandika na Baje Fletcher utakipata kwenye web ya docroid

NB:ungekuwa na upendo usingeulizia kitabu cha jinsi ya kutapeli pesa za wanaume Joannah
 
Asante...Hapana ,upendo ninao ila vitabu vinaongeza knowledge mdogo wangu
 
Na mkishazalishwa msidai matunzo Basi mpambane mleee watoto wenu Kama matetea[emoji16]
🙄🙄🙄🙄Huo mtihani mpya...tafadhali tuige mema ya jogoo mabaya tumuachie mwenyewe
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Ulijaribu kufatilia majukumu anayotekeleza tetea mpaka anahudumiwa ivo
 
😂😂😂😂Tumesema tuige yaliyo mema hayo ya kutelekeza watoto tumuachie jogoo
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu👍, binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Sawa tetea Joannah
 
Back
Top Bottom