Binadamu na Utashi wake lakini hi nooooooooooooooo

Binadamu na Utashi wake lakini hi nooooooooooooooo

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
this is soooo wrong!

Aibu…. loooh speechless…..
 
Attachments

  • mambo mazito.jpg
    mambo mazito.jpg
    21.9 KB · Views: 582
this is very serious!!! Hivi ni kweli dada zetu huwa hawashauriani juhusu mavazi?? Ni kweli huwa wana enjoy kama wengine wanaaibika??
 
Dah kweli hii ni kali!!
Samahani kama hukutaka tucheke mi nimeshindwa kujizuia!!
Hivi mtu anatoka nyumbani akiwa kavaa hivyo ama??Hana hata marafiki wa kumwambia kaharibu!!:twitch:
 
Huyu sio mpanda Daladala, unaweza kuta-anakabito kake, amepaki hapo nje ya ukumbi....... AMA KWELI TEMBE UONE, DUNIA INA MAMBO.
Dah kweli hii ni kali!!
Samahani kama hukutaka tucheke mi nimeshindwa kujizuia!!
Hivi mtu anatoka nyumbani akiwa kavaa hivyo ama??Hana hata marafiki wa kumwambia kaharibu!!:twitch:
 
huyo rafiki yake hapo mbele utakuta anamlaki na a big 'waooooooooo i lk ur outfit, its beutifuly'!
Dunia hii unafki mtupu.
 
Huyu sio mpanda Daladala, unaweza kuta-anakabito kake, amepaki hapo nje ya ukumbi....... AMA KWELI TEMBE UONE, DUNIA INA MAMBO.

Yani hata kioo hana?Utadhani kavalia gizani!
 
Back
Top Bottom