Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Makolo uwa tunawapiga magoli ya kikatili sanaWhat a goal!
Ila utopolo wakipigwa huwa ni cha mbwa koko 6 , 5 ,5, 4 n.kMakolo uwa tunawapiga magoli ya kikatili sana
[emoji28][emoji28][emoji23]Mgumba kapata ujauzito, mji woote utajaa mate
Na ligi inaanza soon makolo muda wa maumivu unarudi tenqNakazia kukumbushana ni muhimu.
Hahahaa! Kabisa Swahiba.Na ligi inaanza soon makolo muda wa maumivu unarudi tenq
Wanatamani ligi iishie hapa hapa ilipo na timu lao bovu πHahahaa! Kabisa Swahiba.
Pia tuwakumbushe na hili kuwa points zilizobakia ni tatu tu. π