LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,508
kwanini iwe uongo wakati hata hao wa mwanzo kama babake abraham,wanaonekana mwanzo iraq?,hata mji wa babeli si uko iraq,ule mtumbwi nuhu alitumia kukimbia mafuriko ya mto frat ulioko iraq nao ulipelekwa na maji mpaka juu ya vilele vya mlima mmoja kule uturuki,jamii nzima kwa mjibu wa bible inaonekana kuanzia iraq,hata lugha aliyoongea abraham na hata yesu asili yake ni iraq pia
Mkuu hizo ni fasihi simulizi watu walizojijengea hatujui kama ni kweli au si kweli...kwa wewe kusoma kitabu kilichoandikwa na wanadamu halafu unaniambia ni kweli kwa asilimia mia moja wakati hakuna scientific proof kuwepo kwa hiyo jahazi ya nuhu iliyobeba wanyama wote duniani,nk.
Kila kitu kwenye biblia kipo debunked scientifically kua si kweli...hilo jahazi la nuhu ki-physics na technologia ya miaka hiyo hata sasa hamna atakaeweza jenga..achana na miaka ya giza huko,sasa hivi kwa technolojia kubwa tuliyofikia mwanadamu bado hawezi jenga hata kesho...mabaki yake ndio scientifically na archeologically ni proven haija exist.Kwahiyo tuache kuchukulia stori za biblia literally..
Mnara wa babeli,the tallest structure to ever happen on earth,ni proven and debunked kua ni uongo mtakatifu...kwa teknolojia ya sasa hakuna jengo duniani linaloweza vuka haemosphere kwenda stratosphere...hakuna tech hiyo...mabaki yake hayapo wakati ya mabaki ya materials za vitu vingine vyenye miaka mingi zaidi ya huo mnara wa kufikirika ni proven..
Kwanza biblia inapojitia inajua science ndio walipofelia zaidi,..mfano mdogo tu,per biblia walau duniani ina umri wa miaka laki na nusu,wakati science leo inaprove bila swali kua dunia ina 4bilion years,walioandika biblia ni wehu kabisa