Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Kwema wadau?
Ipo hivi Rafiki yangu alinipigia simu Baba yake anaumwa nikaenda kumjulia hali Baba yake nilimkuta anahali nzuri anatembea ila dhaifu kutokana na ugonjwa basi nikampatie Baba yake Laki moja kwa ajili ya kumsapoti kipindi hichi anachoumwa.
Baada ya kuondoka zimepita siku tatu Kaka yake na Rafiki yangu ananipigia simu tuonane nikakubali kufika anaomba nimuazime kiasi cha Milioni tano(5,000,000/=) kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba na ananitegemea mimi hana mtu mwingine nahisi kumpa Baba yake fedha imeleta huu mtihani.