Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wewe shetani!Sina muda wa kuwa baraka na faraja katika maisha ya watu ilihali Mimi pia ni mtu.
Asante sana😢 Pole kwa wote wanaopitia nyakati ngumu🫂
Sahihi kabisa mioyo imebeba mengiUsiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi.
Eti nimfariji mtu na niwe baraka kwake. Mtu anayependa kufarijiwa hajiamini, mtu mwambie ukweli bila kuficha.Wewe shetani!
Life is bitchKuna watu wapaswa wakwazike ili watoke hapo walipo, mimi nikiwa mmoja wapo
Yule ni kiziwiHuu umfikie yule Jezebel mla nyama na damu za watu
🫂Asante sana
♥️Hii ndio namna navyoishi maisha yangu. Upo sahihi sana
Hii ndio namna navyoishi maisha yangu. Upo sahihi sana
Sheikh mbona ukali?