Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kweli kabisa!Eti nimfariji mtu na niwe baraka kwake. Mtu anayependa kufarijiwa hajiamini, mtu mwambie ukweli bila kuficha.
Malezi wala si huruma.
Kweli kabisa!Eti nimfariji mtu na niwe baraka kwake. Mtu anayependa kufarijiwa hajiamini, mtu mwambie ukweli bila kuficha.
Malezi wala si huruma.
Sio lazma umfariji mtu lakini inatosha tu usipokuwa sababu ya makwazoEti nimfariji mtu na niwe baraka kwake. Mtu anayependa kufarijiwa hajiamini, mtu mwambie ukweli bila kuficha.
Malezi wala si huruma.
Hahaha nikuulize wewe sheheSheikh mbona ukali?
Hawezi kukuelewa hataSio lazma umfariji mtu lakini inatosha tu usipokuwa sababu ya makwazo
Ni ujumbe tuYamekupata yapi Rafiki yetu?
Hujaambiwa uwe mfariji ila usiwe sababu ya maumivu kwa wengineEti nimfariji mtu na niwe baraka kwake. Mtu anayependa kufarijiwa hajiamini, mtu mwambie ukweli bila kuficha.
Malezi wala si huruma.
Naona ghafla imekuwa mnyonge. Natania tu! Njoo tufarijiane laazizi 😋.Kweli kabisa!
Nakuja babe😆Naona ghafla imekuwa mnyonge. Natania tu! Njoo tufarijiane laazizi 😋.
Yap, hapo sawa. Nikadhani unanilzimisha kumpetipeti mwana wa Adam.Sio lazma umfariji mtu lakini inatosha tu usipokuwa sababu ya makwazo
Fu,,ck off🤣Life is bitch
One day we die😅Fu,,ck off🤣
Kwa mfano watu wengine wanapata maumivu wakiambiwa ukweli. Kwa hiyo unataka nisiwachane watu ukweli hadi wakachanika, sivyo?Hujaambiwa uwe mfariji ila usiwe sababu ya maumivu kwa wengine
IndeedOne we die😅
GudubaiiiiKwa mfano watu wengine wanapata maumivu wakiambiwa ukweli. Kwa hiyo unataka nisiwachane watu ukweli hadi wakachanika, sivyo?
Nani atalia?Indeed
Binti yangu😊Who will cry?
Ova 😋.Nakuja babe😆