Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

Wengine furaha yetu inatokana na vilio vya watu wengine.
 
Yes ofcoz kutaleta amani ya moyo na matumaini kwa yule aliyekata tamaa
Kuleta amani ya moyo na matumaini bado hakupunguzi shida za binadamu.

Kuleta amani ya moyo na matumaini ni kujifariji tu, Hakuondoi Shida za Binadamu.

Shida za binadamu zipo miaka nenda rudi.
 
Kuna wakati unahitaji kuwa kikwazo kwa watu wasio na mwelekeo, kama mtu ana tabia mbaya katika maisha yake, kumkwaza kwa kumwambia ukweli ni act of kindness.

Sometimes, tough love is what they actually need.
 
Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao .

Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
Sasa kupitia mengi si ndio part ya maisha. Kila mtu akae kwenye mstari wake ukikengeuka unarudishwa.

Duniani hatujaja kuoneana huruma
 
Sasa kupitia mengi si ndio part ya maisha. Kila mtu akae kwenye mstari wake ukikengeuka unarudishwa.

Duniani hatujaja kuoneana huruma
Nobody is talking about sympathy. Nazungumzia usiwakwaze watu bila sababu jitahidi usiwe na makwazo . Ndioomaana hata andiko la biblia linasema ole wake yule asababishaye makwazo
 
Kuna wakati unahitaji kuwa kikwazo kwa watu wasio na mwelekeo, kama mtu ana tabia mbaya katika maisha yake, kumkwaza kwa kumwambia ukweli ni act of kindness.

Sometimes, tough love is what they actually need.
It's true kwa mtu ambaye unaona anahitaji kurekebishwa its ok kumuweka sawa , ila tu usimkwaze mtu bila sababu
 
Unamaanisha wanasiasa wasikwazwe? Au ndio sijaelewa
 
Nobody is talking about sympathy. Nazungumzia usiwakwaze watu bila sababu jitahidi usiwe na makwazo . Ndioomaana hata andiko la biblia linasema ole wake yule asababishaye makwazo
Sasa nitakwazana vipi na mtu ambaye sina interaction naye au sababu naye? Huo si utakua wehu? Ukiona nakukwaza ujue kuna sababu. Halafu binadamu ana sababu mbalimbali za kukwazwa. Unaweza fanya jema kwa huyu mwingine akakwazika. So wewe ishi tu usijali sana hisia za watu.

Hayo ya biblia achana nayo.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…