Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

Usiseme hivy kiongozi maana faraja hujengwa na jamii au kikundi, ambapo 2napata nafasi ya kufarijiana sote katika matatizo,huzuni,furaha,mafanikio 2natakiwa kuwa pamoja.
 
Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao .

Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
Be humble
 
Pitia mazito ila kuwa na adabu pia na wenzako wanaopitia mazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…