Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
😀😀😀😀😀😀😀...hii ndo hoja mchanganyikio ...... twendeni jupiter
Ye huyu hajui kuwa vitabu hivyo ni kwa dunia hii moja tu, zipo dunua nyingine hazijuiMkuu Ya Ulimwengu Huwezi Ukayajua
unajua kuchora.. hongeraKatika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
endeleeni kuota hizo ndoto! mtapalamia na majini!!Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Hlf et kifaranga cha mwaka1 na miez7 ndo kinakuwa kikubwa hvyo na chura yote hyo[emoji6]ha hhaahahha haha we sema umevutiwa na chura zao