Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Mbona wanatotolewa wakiwa na nguo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa sioni vzuri, ngoka nika[emoji377] [emoji377]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JF aichoshi kwa kweli. Asante mleta mada kwa kuniongezaa siku za kuishi kama wasemavyo wanasayansi.
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
unajua kuchora.. hongera
 
endeleeni kuota hizo ndoto! mtapalamia na majini!!
 
Back
Top Bottom