Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Hahaaaa! Mkuu umetunga uongo uliotukuka, halafu nawewe hata hujishtukii bana.
 
hizo ni propaganada za kimarekan tu hakuna ukweli wowote hapo
 
aisee tuwekee jina LA hyo movies tudownload.
 
Ni muhimu kwenda kutembeza dushelele huko kama kweli hakuna magonjwa ya zinaa.
 
sayar hii nimeipenda mtoto anazaliwa na tayar kwa kuolewa
 
Hakuna uhai jupiter mkuu kwa kuwa hewa kubwa kule ni helium na hydrogen na pia gravity yake ni kubwa mno ambayo iliweza kuharibu miezi kadhaa ambayo inaizunguka jupiter na pia ndani ya sayari hii kuna pressure kubwa mno ambayo ni mara 10000 ya hapa duniani ss kama kuna binadamu anayeweza vumilia yte hayo basi ni mfu 2
 
 
Lovely
 
Uhai upo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…