Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Mbna hao bunadamu wote ni wazungu afu wanawake tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Hao hawatafika mbali kizazi chao kitaanza kuapproach to zero very soon maana wanaume hapo watataka wakangiwe hayo mayai, mwanaume utasikia "mke wangu umetaga mangapi?mke manne mume wangu.mume ebu nikangie matatu"[emoji13] [emoji13]

Mwambenzere
 
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom