miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
wenye chura halafuTena ni wanawake tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye chura halafuTena ni wanawake tu..
Mbna hao bunadamu wote ni wazungu afu wanawake tu?Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Hao hawatafika mbali kizazi chao kitaanza kuapproach to zero very soon maana wanaume hapo watataka wakangiwe hayo mayai, mwanaume utasikia "mke wangu umetaga mangapi?mke manne mume wangu.mume ebu nikangie matatu"[emoji13] [emoji13]Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
ha ha ha haHao hawatafika mbali kizazi chao kitaanza kuapproach to zero very soon maana wanaume hapo watataka wakangiwe hayo mayai, mwanaume utasikia "mke wangu umetaga mangapi?mke manne mume wangu.mume ebu nikangie matatu"[emoji13] [emoji13]
Mwambenzere