phredrickurban143
Member
- Jun 3, 2017
- 16
- 11
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Mmmhhh hilo yai linatagwa na nani sasa?
Kubwa kiasi hicho
Binadamu kwenye Sayari ya Jupiter? You can't be serious!
Hints on Jupiter: "The temperature in the clouds of Jupiter is about minus 145 Celsius (minus 234 degrees Fahrenheit). The temperature near the planet's center is much, much hotter. The core temperature may be about 24,000 degrees Celsius (43,000 degrees Fahrenheit). That's hotter than the surface of the sun!"
Binadamu anawezaje kuishi mazingira haya? Mh, labda karne kadhaa zilizopita.
Mbona wamevaa brazia wananunua wapi?
Huko hakuna kugegedana?
Ok, sasa ni nani anayetaga & kutotoa mayai hayo? Yanarutubishwa na nani? Angalieni msije kufuru mkasema kuwa mungu ni jogoo na ana majike totozi wa mayai! Ohoooo!Umeambia ni binadamu wa kutotolewa tu kama kuku/ ndege ndio anamudu mazingira uliyosema.
Ok, sasa ni nani anayetaga & kutotoa mayai hayo? Yanarutubishwa na nani? Angalieni msije kufuru mkasema kuwa mungu ni jogoo na ana majike totozi wa mayai! Ohoooo!
πππ!
!
Hapa nawaza tu kipenyo cha kitagio cha myai huo.
Tena ni wanawake tu..halfu mbona yai linataga wazungu tu?