Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Ina maana hiyo apo pichani ni sehemu maalumu kwa ajili ya kutotolea au?
Basi haaya!!!!
 
Wanatotolewa wakiwa tayari wamevaa sidiria[emoji38][emoji2]
Umeona wapi sidilia?
 
mkuu jaribu kuvuta bangi ya pwani..naona ya arusha imekukataa
 
kiukweli kwa ukubwa wa yai hilo naisubiri hiyo filamu itoke
 
Ninachofahamu Mars kuna Aliens (viumbe vya ajabu wanaishi) na hilo suala liko wazi japokuwa hawapendi kulithibitisha lisilete taharuki kwa Dunia...ila kuhusu Jupiter ndio naskia leo kwako ngoja nifuatilie.
 
mpendwa umeshindwa kuniamini siyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…