Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Nawenyewe labda wanajua sayari yetu hii tunamoishi Kuna watu kama wao na wanatuona sisi kama viumbe wa ajabu Hahahaha dunia inamengi sana hii sio kwamba wanatoka kuogelea bichi hao hii fix
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Tupe reference basi na sisi tujionee uhondo huo.

Mmm, hawa jamaa wanazidi

kutupotosha,sasa hao ni ndege au watu.Au wameamua kujisemea tu kwa vile wanajua hatuwezi kufika huko.Na hizo picha mbona kama ni za kuchora!

Kama hii taarifa ni ya kweli,jamaa nia yao yote ni kuonyesha kwamba the Bible is wrong.Maana biblia inasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa udongo na kupulizia pumzi yake.Biblia pia inaonyesha wazi kwamba sayari yenye uhai ni dunia tu.Kama wapo viumbe wengine ni majini na mashetani ambao wao wanawaita Aliens.Kweli hizi ni siku za mwisho,tutasikia mengi.Ila the Bible is true and will stand the test of time.
 
Back
Top Bottom