Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Huo no wongo .naiheshimu mitandao Kwa stories za abunuasi.
 
Hahahahahahahaha yani huyu kweli alikua ameboreka akaamua kuja na story yake. Hahahaha
 
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Kuamni mpaka mnionyeshe kwanza hilo tetea linalotega hayo mayai nipime kwanza anus size ili niamini!!
Maana ukubwa Wa mayai hayo sio mchezo!
 
Back
Top Bottom