Binadamu

Ahahah
naombeni mchango wa harusi 50 kwa kadi baada ya miezi 3,umepokea milioni 4 na ushee.

naombeni msaada nahitaji ada ya kumalizia muhula wa mwisho laki 950,pole sana kijana kwani hujapata mkopo wa bodi??,sisi hali ngumu mtaani huku.
 
Tena upuuzi wenye mapenzi ndani yake

Umeona eeh! Hata huu uzi wengi wameupotezea...

naombeni mchango wa harusi 50 kwa kadi baada ya miezi 3,umepokea milioni 4 na ushee.

naombeni msaada nahitaji ada ya kumalizia muhula wa mwisho laki 950,pole sana kijana kwani hujapata mkopo wa bodi??,sisi hali ngumu mtaani huku.
Hahahaa...
 
Naombeni msaada wa pesa nauguliwa na Mama yuko ICU na sina hata ndururu 0 likes 0 comments, nimepata chaneli za kibiashara ughaibuni 900 likes 1100 comments [emoji847]
 
Noma sana!
 
Nilivyomtafuna binti Chu*hu saa sita
Replies:896 views:201k

Msaada nahitaji pesa kwa ajili matibabu
Replies:9 views:25
 
Walimwengu hawapendi mafanikio ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…