Binadamu

Binadamu

Ahahah
naombeni mchango wa harusi 50 kwa kadi baada ya miezi 3,umepokea milioni 4 na ushee.

naombeni msaada nahitaji ada ya kumalizia muhula wa mwisho laki 950,pole sana kijana kwani hujapata mkopo wa bodi??,sisi hali ngumu mtaani huku.
 
Tena upuuzi wenye mapenzi ndani yake

Umeona eeh! Hata huu uzi wengi wameupotezea...

naombeni mchango wa harusi 50 kwa kadi baada ya miezi 3,umepokea milioni 4 na ushee.

naombeni msaada nahitaji ada ya kumalizia muhula wa mwisho laki 950,pole sana kijana kwani hujapata mkopo wa bodi??,sisi hali ngumu mtaani huku.
Hahahaa...
 
Naombeni msaada wa pesa nauguliwa na Mama yuko ICU na sina hata ndururu 0 likes 0 comments, nimepata chaneli za kibiashara ughaibuni 900 likes 1100 comments [emoji847]
 
Rafiki zangu Kwakweli Mungu Ni Mwema ,Nimepata Kazi NMB Kama Loan Officer J3 naanza Kazi

0 likes , O Comments

Hello Nimefukuzwa Kazi Hapa Kazini Kwangu ,Hivyo Nipo Home Kupisha Uchunguzi Kwanza Hadi Uishe

90k likes ,89k Comments ,Hao ndio Walimwengu
Noma sana!
 
Nilivyomtafuna binti Chu*hu saa sita
Replies:896 views:201k

Msaada nahitaji pesa kwa ajili matibabu
Replies:9 views:25
 
Walimwengu hawapendi mafanikio ya wengine
 
Back
Top Bottom