Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,579
- 4,878
Habari ya jioni wakuu,
Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi.
Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu mihimili mikuu ya nchi hii haiko huru.
Imefika mbali tunaanza kutoana uhai sisi kwa sisi ,hii laana ya umwagaji damu hakika Mungu hawezi ivumilia .
Inafika hatua unaanza kujiuliza Kodi zetu tunazowalipa mishahara zimegeuka vitisho kwetu,iwe barabarani,mahakamani ,vyama vya siasa ,sehemu za burudani n.k.
Kama unajua ni muoga na unaipenda familia Yako hakika usijiingize kwenye kumi na nane za hao watu ni wanyama ambao hawana ufahamu ila kufata maagizo tu.
Lakini wakumbuke karma is real ,WE ARE ALL NATURAL DEAD linapokuja suala la ukiukaji wa haki daima haliangalii chama isipokuwa ubinaadamu.