baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Mimi binafsi siwezi kutoka kwenda kusikiliza Mgombea yoyote yule. Naona hakuna jipya wanaloweza kunieleza nikawaelewa. Miaka yote ya uhuru matatizo ni yale yale ambayo yameshidwa kutatulika.
Kama tu nchi yenye watu milion 65 tumeshidwa kuendesha mradi tu mdogo wa mwendo kasi. Hapo naweza kutoka kwenda kusikiliza nini kwa mfano.
Hata wakija kunifuata na V8 zao na pesa juu nitawambia nashukuru ila siwezi kutoka siwezi kwenda kusikiliza watu ambao kabisa naona nawashinda akili kiufupi.