Nimefuatilia hii issue ya kuteketea kwa moto soko la Mbeya. Nimeona niwashirikishe hisia zangu. Naona kuna hujuma kwa watu wa Mbeya ( Tena za kisiasa.). Mfano kitendo cha Mkuu wa wilaya ya Mbeya kukataza wafanyabiashara (waliounguliwa vitu vyao) kujenga vibanda vya muda ili waendelee na biashara yao; kwangu imenipa mwanya wa kujiuliza maswali. Pili nimeona Mkuu huyu huyu wa wilaya akisema kuwa watu wasijenge tena ktk soko lile kwa madai kuwa lile ni eneo la mtu (mmoja) ambaye analimiliki kihalali na ana hati miliki.
Tatu Mkuu huyo wa wilaya amesema kuwa mkuu wa mkoa ndiye atakayetoa hatima ya kurudi ama kutorudi kwenye soko. This is ridiculous.
Ni hujuma tu. Maana nimesikia kuwa wamekataa kwenda kwenye soko iipya.
Sent using Jamii Forums mobile app