Binafsi naamini ishu ya moto soko la Mwanjerwa Mbeya ni hujuma kwa wanambeya.

kabayeya

Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
10
Reaction score
23
Nimefuatilia hii issue ya kuteketea kwa moto soko la Mbeya. Nimeona niwashirikishe hisia zangu. Naona kuna hujuma kwa watu wa Mbeya ( Tena za kisiasa.). Mfano kitendo cha Mkuu wa wilaya ya Mbeya kukataza wafanyabiashara (waliounguliwa vitu vyao) kujenga vibanda vya muda ili waendelee na biashara yao; kwangu imenipa mwanya wa kujiuliza maswali. Pili nimeona Mkuu huyu huyu wa wilaya akisema kuwa watu wasijenge tena ktk soko lile kwa madai kuwa lile ni eneo la mtu (mmoja) ambaye analimiliki kihalali na ana hati miliki.
Tatu Mkuu huyo wa wilaya amesema kuwa mkuu wa mkoa ndiye atakayetoa hatima ya kurudi ama kutorudi kwenye soko. This is ridiculous.

Ni hujuma tu. Maana nimesikia kuwa wamekataa kwenda kwenye soko iipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakate bima za Biashara zao. Bima zipo na hapo ndo umuhimu wake unapo onekana so iwe hujuma isiwe hujuma ila.kama una bima yako inakuwa vizuri.

Ni sawa na magari na bima zetu za Third part,yaani Gari ikiibiwa au kuungua moto ndo imekula kwa mwenye nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom