Binafsi nadhani Tulia Ackson asingechukua fomu ya kuwania uspika kwa sasa

Kwani huyu Tulia ili agombee uspika c inabidi ajiondoe kwenye cheo cha unaibu au yeye anagombea tu bila ya kujivua kwenye cheo chake .
 
Tulia anajuwa kiuhakika hawezi kupata kwa kuwa yeye ni Sukuma Gang na mtu aliyefika pale kwa msukumo wa Magufuli. Hivyo kwa makusudi ameacha kujiuzulu u Naibu Spika.
 
Back
Top Bottom