K Kapinga250819 New Member Joined Feb 15, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jan 19, 2022 #21 Kwani huyu Tulia ili agombee uspika c inabidi ajiondoe kwenye cheo cha unaibu au yeye anagombea tu bila ya kujivua kwenye cheo chake .
Kwani huyu Tulia ili agombee uspika c inabidi ajiondoe kwenye cheo cha unaibu au yeye anagombea tu bila ya kujivua kwenye cheo chake .
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Jan 19, 2022 #22 Kapinga250819 said: Kwani huyu Tulia ili agombee uspika c inabidi ajiondoe kwenye cheo cha unaibu au yeye anagombea tu bila ya kujivua kwenye cheo chake . Click to expand... Tulia anajuwa kiuhakika hawezi kupata kwa kuwa yeye ni Sukuma Gang na mtu aliyefika pale kwa msukumo wa Magufuli. Hivyo kwa makusudi ameacha kujiuzulu u Naibu Spika.
Kapinga250819 said: Kwani huyu Tulia ili agombee uspika c inabidi ajiondoe kwenye cheo cha unaibu au yeye anagombea tu bila ya kujivua kwenye cheo chake . Click to expand... Tulia anajuwa kiuhakika hawezi kupata kwa kuwa yeye ni Sukuma Gang na mtu aliyefika pale kwa msukumo wa Magufuli. Hivyo kwa makusudi ameacha kujiuzulu u Naibu Spika.