Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Umeleta maoni yenye weledi mnoo! Na pia ni ushauri mzuri kwa wanaccm kutumia akili zao kwa ufasaha bila kupofushwa na rangi za kijani na njano! Hawatotimiza ndoto zao kama Edward lowasa alivodhulumika.Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
Akijibu hapa tofauti kuna lake analitafuta.Ungejishughulisha kidogo kusoma katiba ungeelewa, ila ngoja nikumegee,
Ni hivi, Mama ameanza awamu mpya kwa kuwa magu awamu ya pili hakufikisha miaka miwili, kama ingefika miaka miwili mama angemalizia halafu ufanyike mchakato mpya,
Kwa hiyo mama automatiki ihii awamu ni yake kamili na ijayo uhai ukiwepo atamalizia awamu ya sita, ajaye ataanza ya saba.
Naikiwa kama unavyotamani basi itategemea miaka miwili iliisha au bado?
Kama hujaelewa tafta katiba usome
Sasa kama huyo mama yako anagombea awamu ya pili...ni kwanini isiwe awamu ya Saba? Au hizo awamu ni idadi ya vichwa?Ungejishughulisha kidogo kusoma katiba ungeelewa, ila ngoja nikumegee,
Ni hivi, Mama ameanza awamu mpya kwa kuwa magu awamu ya pili hakufikisha miaka miwili, kama ingefika miaka miwili mama angemalizia halafu ufanyike mchakato mpya,
Kwa hiyo mama automatiki ihii awamu ni yake kamili na ijayo uhai ukiwepo atamalizia awamu ya sita, ajaye ataanza ya saba.
Naikiwa kama unavyotamani basi itategemea miaka miwili iliisha au bado?
Kama hujaelewa tafta katiba usome
Nafikiri ameuliza ..Endapo scenario iliyotokea kwa Magufuli, ikijirudia , Wembe utakua ule ule?!Ungejishughulisha kidogo kusoma katiba ungeelewa, ila ngoja nikumegee,
Ni hivi, Mama ameanza awamu mpya kwa kuwa magu awamu ya pili hakufikisha miaka miwili, kama ingefika miaka miwili mama angemalizia halafu ufanyike mchakato mpya,
Kwa hiyo mama automatiki ihii awamu ni yake kamili na ijayo uhai ukiwepo atamalizia awamu ya sita, ajaye ataanza ya saba.
Naikiwa kama unavyotamani basi itategemea miaka miwili iliisha au bado?
Kama hujaelewa tafta katiba usome
Wewe ulivyoondoka Chadema si ulisema unaenda CCM au ulighaili tena?Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
Reforms ni muhimu kwa maslahi mapana ya TaifaBinafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
CCM huwa hawawazi hayo mambo, wao kikubwa ni teuzi tu. Wao ili mradi Rais toka chama chao anaweza kuwatoa kwenye 'jasho jingi, ulaji kidogo' (ukada wa chama)akawaleta serikalini kwenye ulaji bila kumwaga jasho, hayo ndo mambo wanayotaka. Kusogezwa kwenye 'ulaji' bila interview hicho ndo kipaumbele cha makada. Hayo ya awamu, sio kitu kwao. Wanaccm wanaoteseka na hilo wazo lako la kipindi cha kwanza na awamu ya saba ni wachache sana. CCM mambo sujui ya future, sijui Rais strong wa kunyoosha nchi au kuleta maendeleo hilo huwa 'by the way' kubwa ni mtu gani anaye weza kuwapa nafasi za ulaji full stop. Nchi hii akitokea Rais toka CCM ambaye amedhamiria kutawala zaidi ya miaka 10 anaweza, tena bila kutumia nguvu kubwa watakao msumbua kwa kelele ni wapinzani tu tena chadema.Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
Hayo ndo majibu ya makada. mama akitaka hata kugombea 2035 wala haitaji mtulinga, yaani ni huruma yake tu kwa watanzania ndo itamfanya asigombee.Ungejishughulisha kidogo kusoma katiba ungeelewa, ila ngoja nikumegee,
Ni hivi, Mama ameanza awamu mpya kwa kuwa magu awamu ya pili hakufikisha miaka miwili, kama ingefika miaka miwili mama angemalizia halafu ufanyike mchakato mpya,
Kwa hiyo mama automatiki ihii awamu ni yake kamili na ijayo uhai ukiwepo atamalizia awamu ya sita, ajaye ataanza ya saba.
Naikiwa kama unavyotamani basi itategemea miaka miwili iliisha au bado?
Kama hujaelewa tafta katiba usome
Nimemjibu hapo paragraph ya mwisho kwambaNafikiri ameuliza ..Endapo scenario iliyotokea kwa Magufuli, ikijirudia , Wembe utakua ule ule?!
Ni ya sita kwa sababu hata hii inayoisha ni ya mama, haihesabiwi kwamba ni ya magu kwasababu hakufikisha miaka miwili utawalaniSasa kama huyo mama yako anagombea awamu ya pili...ni kwanini isiwe awamu ya Saba? Au hizo awamu ni idadi ya vichwa?
Hawana hiyo akiliBinafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei
Vipi kuhusu incumbent (Nchimbi) ..pia kanuni ya kumwachia term ya pili Bila kuwa challenged na CCM members itatumika?!...SWALI liko hapo chief.Nimemjibu hapo paragraph ya mwisho kwamba
Ikiwa litatokea analotamani basi kanuni ya miaka miwili itazingatiwa
Plus wanaoutaka urais kupitia CCMCCM huwa hawawazi hayo mambo, wao kikubwa ni teuzi tu. Wao ili mradi Rais toka chama chao anaweza kuwatoa kwenye 'jasho jingi, ulaji kidogo' (ukada wa chama)akawaleta serikalini kwenye ulaji bila kumwaga jasho, hayo ndo mambo wanayotaka. Kusogezwa kwenye 'ulaji' bila interview hicho ndo kipaumbele cha makada. Hayo ya awamu, sio kitu kwao. Wanaccm wanaoteseka na hilo wazo lako la kipindi cha kwanza na awamu ya saba ni wachache sana. CCM mambo sujui ya future, sijui Rais strong wa kunyoosha nchi au kuleta maendeleo hilo huwa 'by the way' kubwa ni mtu gani anaye weza kuwapa nafasi za ulaji full stop. Nchi hii akitokea Rais toka CCM ambaye amedhamiria kutawala zaidi ya miaka 10 anaweza, tena bila kutumia nguvu kubwa watakao msumbua kwa kelele ni wapinzani tu tena chadema.
Nimejibu mbona,Vipi kuhusu incumbent (Nchimbi) ..pia kanuni ya kumwachia term ya pili Bila kuwa challenged na CCM members itatumika?!...SWALI liko hapo chief.
We jamaa utakua ni lawyer... anyways... nadhan nimekuelewa, kwa sasa tuiache kama ilivyo..tusije tukawaamsha walio lala.Nimejibu mbona,
Labda muwazito kuelewa,
Katiba inatakiwa isomwe kwa ujumla, sio kutafuta vifungu vya kubishania