Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha.
Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni awamu ya Sita.
Kwa utamaduni wa CCM Rais aliyepo madarakani akitaka kugombea awamu ya pili basi huwa hapingwi na fomu hua ni moja. Mama Samia kashapitishwa kugombea tena kipindi cha pili cha awamu ya Sita.
Je Dr Nchimbi nae akiwa Rais kwa kudra za Mungu nae ataanza kipindi cha kwanza cha awamu ya saba? Na je akitaka nae kipindi cha pili fomu pia itakuwa moja? Nafikiri reforms ni muhimu sana kwa maslahi ya vyama vyote otherwise CCM wanaweza wasije kuwa na mchakato wa wagombea Urais kwa kipindi kirefu, fomu ikawa ni moja tu miaka na miaka. Hatuombei