Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

Aliyebeba kombe la losers last season hakufua dafu kwa simba sc iliyoishia robo tu itakuwa wewe utopolo ambaye hata fainali hujagusa????
 
Aliyebeba kombe la losers last season hakufua dafu kwa simba sc iliyoishia robo tu itakuwa wewe utopolo ambaye hata fainali hujagusa????
Si ndo hapo, wakati takwimu za CAF zipo
 
Aliyebeba kombe la losers last season hakufua dafu kwa simba sc iliyoishia robo tu itakuwa wewe utopolo ambaye hata fainali hujagusa????
Ndiyo nishakupita sasa, kalilie chooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao hao walipotoa takwimu mwezi wa tatu mwaka huu, simba ilipokuwa ya 9, hawakuwa shirika la uchochoroni..!!
Mara nyingi Simba walizokuwa wakitamba nazo ni za CAF ambazo Simba mwenye point 35
 
Sasa ndio pyramid wawe juu ya mamelod?[emoji23]huu ni mchongo tu
Yanga wawe juu ya Asec ambaye mwaka jana amecheza group stages wakati yanga wanazurura na press conference za manara kudai hawataki viporo na mwaka huu wako nusu sawa na yanga [emoji23][emoji23]
 
Hizi sio ranks rasmi even ata ww unaweza kuwa na rank yako na ukopost

Ranks ramsi zinapatikan kwenye page na blogs za caf tu [emoji1424]
Acheni utoto, IFFHS wametoa latest updates zilizotoka juzi trh 14/05/2023, nioneshe takwimu mpya za CAF ili upinge takwimu za IFFHS, takwimu zinapingwa na takwimu mpya.
 
Yanga wawe juu ya Asec ambaye mwaka jana amecheza group stages wakati yanga wanazurura na press conference za manara kudai hawataki viporo na mwaka huu wako nusu sawa na yanga [emoji23][emoji23]
Malalamiko peleka IFFHS sio hapa.
 
Kwa wanaotaka kujua Yanga imevuna points ngapi mpaka sasa, ni 118.5, hii inamaanisha baada ya kuingia fainali atakuwa juu ya Al hilal ya Sudan, jamani watu wa Simba mjikaze kweli kweli maana maumivu ya mwaka huu hamjawahi kuyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…