Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

Acha kuwa mbumbumbu unajiharibia Cv
ranks hazipimwi kwa kuchukua kombe msimu mmoja bali ndani ya miaka mitano nyuma umefanyanya nini Kwa maana makombe mangapi pia kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa mara kwa mara

next time ukiwa huna cha kuongea kaa kimya sio lazima upwayuke✋🏽✋🏽
Kwa hoja yako hii wewe ndiye mbumbumbu
 
Yanga Ina makombe mawili ligi kuu, kombe la Azam Federation na Sasa nusu fainali Shirikisho Kesho wanaume haooo fainali Shirikisho.

Simba Ina kombe moja la Mapinduzi na makombe mawili ya kufa kiume moja dhidi ya Wydad na jingine dhidi ya Azam fc.

Mkuu tumia basi akili yako kidogo Ile ya kuvukia Barabara Ilete hapa uamke, Simba hamna chochote zaidi ya kelele tu, hamna kombe lolote, kocha Mzee, wachezaji wazee, mna mganga feki Yuko Pemba, boss takwimu ziko wazi hamuwezi kuwa juu ya Yanga!!

Angalizo!
Mkuu nakushauri be careful wanao wasikuige akili yako ya kukataa Ukweli ulio mbele ya macho yako, watakufa masikini, nakushauri wapandishe wanao basi la njano kama Mimi wasiende shule kwa miguu peku peku. Uwape na pesa ya kula shule maana Kuna kuringishiana huko English academy!! Wakikua watakutoa!

Hizi takwimu kazitoa mzee mpili nini 🤣🤣🤣

Kama kwa kigezo cha yanga kuingia nusu ndio kumemfanya awepo hapo, ningetegemea kuwaona.

Marumo

Usm Alger

Asec mimosas kwenye kumi bora
 
Yanga Ina makombe mawili ligi kuu, kombe la Azam Federation na Sasa nusu fainali Shirikisho Kesho wanaume haooo fainali Shirikisho.

Simba Ina kombe moja la Mapinduzi na makombe mawili ya kufa kiume moja dhidi ya Wydad na jingine dhidi ya Azam fc.

Mkuu tumia basi akili yako kidogo Ile ya kuvukia Barabara Ilete hapa uamke, Simba hamna chochote zaidi ya kelele tu, hamna kombe lolote, kocha Mzee, wachezaji wazee, mna mganga feki Yuko Pemba, boss takwimu ziko wazi hamuwezi kuwa juu ya Yanga!!

Angalizo!
Mkuu nakushauri be careful wanao wasikuige akili yako ya kukataa Ukweli ulio mbele ya macho yako, watakufa masikini, nakushauri wapandishe wanao basi la njano kama Mimi wasiende shule kwa miguu peku peku. Uwape na pesa ya kula shule maana Kuna kuringishiana huko English academy!! Wakikua watakutoa!
Rank za Caf hawaangalii ligi ya ndani mzee, wanachoangalia wao point ulizonazo kwenye mashindano ya caf, unajiona mjuaji kumbe hamnazo sema ufundishwe. Mpaka sasa yang ana point kumi na tano tuu hawezi kuwa juu ya simba mwenye point 35 rudi shule.

C4520454-6774-4E7F-B5CF-B80CD0243D13.png
 
Rank za Caf hawaangalii ligi ya ndani mzee, wanachoangalia wao point ulizonazo kwenye mashindano ya caf, unajiona mjuaji kumbe hamnazo sema ufundishwe. Mpaka sasa yang ana point kumi na tano tuu hawezi kuwa juu ya simba mwenye point 35 rudi shule.

View attachment 2624648
Mna point 35 na makombe ya kufa kiume! Nonsense
 
🤣🤣🤣🤣 eti wewe ndio umesoma yaani wewe hata nikikuweka na mtoto wangu wa miaka matatu humuwezi kwa hoja
Kusoma sio kujua Kila kitu bro, amka! Yes mi ni msomi sana wa international development na nimeishi sana ulaya. Hiyo ni Kweli.

Sasa sijakuelewa, hoja na maswali yako wewe na mwanao yatahusiana na maisha yenu mi nitajuaje sasa na mwanao akianza kunihoji nitamjibuje maana nyie siwajui ? Kwanza muda wa kukaa nawewe na familia yako sijui mwanao mnihoji sina, mood ya kukaa nawewe na mwanao mnihoji Sina, sababu za kukaa na wewe na Mtoto wako mnihoji Sina, Nia Sina, nadhani ungefikiri Kidogo kabla ya kuniparamia mtani nitakuparura ujue💪😊😊!
Mi Yanga ujue na nyie Makolo tutawacheka mwaka mzima!! Na Leo tunatinga fainali mtakufa kwa kihoro!!

Kumbe we ni msomi from mbumbumbu house kolowizard tunajua nyote huwa hamtumii logic bali mihemko! Huko kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage the Great!
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Leo ndiyo rasmi Yanga imekuwa timu kubwa zaidi Tz, haiwezi kufananishwa na timu yoyote ile.
 
Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?View attachment 2622738
CAF
Top 20 (1st February 2022 – 31th January 2023)
CRWRCountry / levelPoints
111Al Ahly SCEgypt / 3 /EGY218,5
238Wydad AC CasablancaMorocco / 3 /MAR171
353Zamalek SCEgypt / 3 /EGY155,5
465Pyramids FCEgypt / 3 /EGY146
589CR BelouizdadAlgeria / 3 /ALG129,75
690Mamelodi Sundowns FCSouth Africa / 2 /RSA128
7101Raja CA CasablancaMorocco / 3 /MAR120
8104RSB BerkaneMorocco / 3 /MAR119,25
8104Al Hilal OmdurmanSudan / 2 /SDN119,25
10106Atlético Petro de LuandaAngola / 2 /ANG119
11112Simba SCTanzania / 2 /TAN115,5
12129Al MerreikhSudan / 2 /SDN106,75
13145Future FCEgypt / 3 /EGY101,25
14160ES SétifAlgeria / 3 /ALG96
15163Esperance STTunisia / 2 /TUN94
16192JS SaouraAlgeria / 3 /ALG86
17194Al MasryEgypt / 3 /EGY85,5
18199FAR RabatMorocco / 3 /MAR84
19201Al Ahli TripoliLibya / 1 /LBY83,5
20204Young Africans SCTanzania / 2 /TAN82,5
 
Mimi ni YANGA , lakini sikubaliani na hii list.

Lakini mashabiki wa Simba vumilieni, kwa sababu hiyo list hata last year ilikuwepo na mlishupaza shingo kwa kuifanya iwe fimbo ya kuichapia Yanga.

Sasa zamu yenu, kuimba ni kupokezana.
CAF
Top 20 (1st February 2022 – 31th January 2023)
CRWRCountry / levelPoints
111Al Ahly SCEgypt / 3 /EGY218,5
238Wydad AC CasablancaMorocco / 3 /MAR171
353Zamalek SCEgypt / 3 /EGY155,5
465Pyramids FCEgypt / 3 /EGY146
589CR BelouizdadAlgeria / 3 /ALG129,75
690Mamelodi Sundowns FCSouth Africa / 2 /RSA128
7101Raja CA CasablancaMorocco / 3 /MAR120
8104RSB BerkaneMorocco / 3 /MAR119,25
8104Al Hilal OmdurmanSudan / 2 /SDN119,25
10106Atlético Petro de LuandaAngola / 2 /ANG119
11112Simba SCTanzania / 2 /TAN115,5
12129Al MerreikhSudan / 2 /SDN106,75
13145Future FCEgypt / 3 /EGY101,25
14160ES SétifAlgeria / 3 /ALG96
15163Esperance STTunisia / 2 /TUN94
16192JS SaouraAlgeria / 3 /ALG86
17194Al MasryEgypt / 3 /EGY85,5
18199FAR RabatMorocco / 3 /MAR84
19201Al Ahli TripoliLibya / 1 /LBY83,5
20204Young Africans SCTanzania / 2 /TAN82,5
 
Hizi sio ranks rasmi even ata ww unaweza kuwa na rank yako na ukopost

Ranks ramsi zinapatikan kwenye page na blogs za caf tu [emoji1424]
Mnachanganya vitu, IFFHS inapoweka rank huwa inachukua mashindano yote kwa ujumla na wala hawa deal na mashindano ya CAF pekee, hawa wana deal zaidi na takwimu za timu na ndio maana wanaitwa The international federation of football history and statistics (IFFHS)
Lakini rank za CAF zimeegemea tu kwenye mashindano ya CAF.
 
Leo ndiyo rasmi Yanga imekuwa timu kubwa zaidi Tz, haiwezi kufananishwa na timu yoyote ile.
Yanga ana points ngap huko CAF na Simba anazo ngapi?
Kwenye mpira hakuna siasa Wala janja janja na ukanjanja.
Berkane ni bingwa mtetez wa hilo kombe je ni wangap kirank huko CAF?
Kwahiyo hata marumo kwasasa marumo ni timu kubwa kwasasa huko south Africa na ukanda wao zid ya kaizer chief ,petrol de Luanda ,Orlando ,na wengine ambao hawajafika hiyo hatua Kwa huu msimu?
Alafu huo ukubwa wa yanga ni Kwa angle ipi?ni mkubwa Kwa kumfunga nani?
Yanga angekua mkubwa walau angejitahid afike hata makundi tu club bingwa labda tungesema kitu.
Timu kubwa inashindwa kufika makundi club bingwa Kwa miaka 26 !!uliona wapi hii kitu.
Yanga ni kubwa Tanzania Kwa kigezo kipi?
Kubeba kombe au.
Kwahiyo kipindi Azam anabeba kombe alikua mkubwa Kwa Simba na Yanga?
Km kigezo ndio hicho basi sawa Yanga ni mkubwa tena sana
 
Mnatupotezea mda tu
 
Yanga ni mkubwa kwa angle hii [emoji116][emoji116]
Screenshot_20230514-194133.jpg
 
Kusoma sio kujua Kila kitu bro, amka! Yes mi ni msomi sana wa international development na nimeishi sana ulaya. Hiyo ni Kweli.

Sasa sijakuelewa, hoja na maswali yako wewe na mwanao yatahusiana na maisha yenu mi nitajuaje sasa na mwanao akianza kunihoji nitamjibuje maana nyie siwajui ? Kwanza muda wa kukaa nawewe na familia yako sijui mwanao mnihoji sina, mood ya kukaa nawewe na mwanao mnihoji Sina, sababu za kukaa na wewe na Mtoto wako mnihoji Sina, Nia Sina, nadhani ungefikiri Kidogo kabla ya kuniparamia mtani nitakuparura ujue[emoji123][emoji4][emoji4]!
Mi Yanga ujue na nyie Makolo tutawacheka mwaka mzima!! Na Leo tunatinga fainali mtakufa kwa kihoro!!

Kumbe we ni msomi from mbumbumbu house kolowizard tunajua nyote huwa hamtumii logic bali mihemko! Huko kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage the Great!

Rage the Great. Zinga la ubatizo.
 
Mnachanganya vitu, IFFHS inapoweka rank huwa inachukua mashindano yote kwa ujumla na wala hawa deal na mashindano ya CAF pekee, hawa wana deal zaidi na takwimu za timu na ndio maana wanaitwa The international federation of football history and statistics (IFFHS)
Lakini rank za CAF zimeegemea tu kwenye mashindano ya CAF.
Tena wanaanzia kwenye group stage.
 
Back
Top Bottom