Yanga Ina makombe mawili ligi kuu, kombe la Azam Federation na Sasa nusu fainali Shirikisho Kesho wanaume haooo fainali Shirikisho.
Simba Ina kombe moja la Mapinduzi na makombe mawili ya kufa kiume moja dhidi ya Wydad na jingine dhidi ya Azam fc.
Mkuu tumia basi akili yako kidogo Ile ya kuvukia Barabara Ilete hapa uamke, Simba hamna chochote zaidi ya kelele tu, hamna kombe lolote, kocha Mzee, wachezaji wazee, mna mganga feki Yuko Pemba, boss takwimu ziko wazi hamuwezi kuwa juu ya Yanga!!
Angalizo!
Mkuu nakushauri be careful wanao wasikuige akili yako ya kukataa Ukweli ulio mbele ya macho yako, watakufa masikini, nakushauri wapandishe wanao basi la njano kama Mimi wasiende shule kwa miguu peku peku. Uwape na pesa ya kula shule maana Kuna kuringishiana huko English academy!! Wakikua watakutoa!