Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

Kwa kuwa aliwakaribisha chadema Ikulu kupiga juisi?
Pole sana, tunajua ulikuwa unamtetea Kikwete kwa sababu kuu moja tu alikuwa upande wako, safari hii jipange upya kumtetea rais Pombe.
 
Leo anakuwacha una Gas cubic feet trillion 55.

Bila hizo safari zake ungeyapata hayo?
Unajua kamuuzia nani hiyo gesi!

Hizi sijui cubic feet trillions is just a number to fool people like you,

hata dhahabu tuliambiwa Tanzania ina ton of tonnes ya dhahabu sana sana ulichoambulia wewe ni hako ka hereni ka gram 10 poor you.
 
hakuna hali ya kudumu kila kitu kinapita,tuombe tuu huyu msukuma nae asimtumie kama mshauri wake
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais asiyethamini taaluma za watu wakiwemo waalimu, wauguzi yeye ni siasa tu,

Asingeoa Mwalimu na yeye mwenyewe asingekuwa Mwalimu, ningekuelewa.

Jaribu lingine, hapo ume buuuugi man.
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais asiyejali mihimili mingine,

Mihimili ipi na hakuijali vipi?

Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, njoo na vitu solid.
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais aliyetuhumiwa kwa kila dili EPA yumo, Richmond yumo, Merameta yumo, Escrow yumo, what type of a president,

Ukiitwa kwenda kutoa ushahidi usilalamike.
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Hakuipenda nchi nchi yake kwa dhati, tangu aseme pesa zetu siyo za umma niliumia sana,

Pesa zako toka lini zikawa za umma?
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Maliasili zinahamishwa yeye hakujali,

Na ile opereshen mkalalamika umeisahau?
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais aliyekuza udini na ukanda "rais hawezi toka kaskazini" hakuonekana kukemea,

Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia, wanatokea wapi?
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais aliyetuambia anayo majina ya wauza unga hadi leo anaondoka nayo,

Ulitaka hayo majina akupe wewe?
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais anayesamehe wezi wakubwa wa EPA wakati wadogo wakiozea jela,

Mramba na Yona wako wapi?
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais aliyependa vijembe kwa wananchi wanaotofautiana naye,

"Kula uliwe" - Kikwete
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Rais aliyetumia ofisi kwa maslahi yake na familia yake.

.

Wewe unatumia ofisi yako (kama unayo) kwa maslahi ya nani?
 
Mleta mada,

Hakuna wakati Tanzania imesonga mbele kwa hatua kubwa sana kwenye nyanja zote kama wa Kikwete. Ukilinganisha na Marais wote wa kabla yake.

Na kwa kuwa kishabomoa misingi mibovu aliyoikuta na kaweka misingi imara na yenye muelekeo, tegemea Magufuli kufanya mara kumi zaidi.

Kikwete yuko juu sana.
 
Wewe na familia yako ndo mmesonga mbele acha kubwabwaja hapa we mzee.

Kikwete:

DSC03097.jpg

Hapo wanatibiwa familia yangu tu?
 
Nimelala usingizi mzito jana. Nimeamka asubuhi katika ndoto nasikia pop song wazungu wanaimba;Bye bye Kikwete,Bye bye dictator Kikwete.". In case watu wataniuliza nasema nini,nasema nimeota leo wazungu wanaimba wimbo,pop song,yaani hizi nyimbo za vijana,wanamuita Kikwete 'dictator',kwamba wao walikuwa wanamuona kama tu mtu aliyekuwa anaitawala Tanzania kwa mabavu.
 
Mjaa asili haachi asili. Ulitegemea nn toka kwa mkwere!!! Asili yao nini? Tafakari!!! Ushachelewa kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom