Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

Katika hili nakuunga mkono
 
sema roho zinawauma tu.

Mlijaribu kila hila kwa miaka 10, zote kapangua huku anacheka.
emshazaa boko haram wangapi mpaka sasa?...sorry...haina maana naweza kuonekana mbaguzi wa dini..mwenzetu roho inakuuma kwa maoni yetu eeh..jk hakuwahi kukubalika na watu inteligent ndugu
 
emshazaa boko haram wangapi mpaka sasa?...sorry...haina maana naweza kuonekana mbaguzi wa dini..mwenzetu roho inakuuma kwa maoni yetu eeh..jk hakuwahi kukubalika na watu inteligent ndugu

Ikiwa watu intelligent ni kama wewe, basi kazi iliyopo mbele yetu ni kubwa sana:

Picha kama hizi atakuwa anaziona kwenye The Telegram, let him go.

Rais wa kwanza kualikwa na Obama kutokea Afrika aliposhika madaraka - kumbuka hilo.

Lowassa atazionea wapi?
 
Rais wa kwanza kualikwa na Obama kutokea Afrika aliposhika madaraka - kumbuka hilo.

Lowassa atazionea wapi?

Na Rais Wa kwanza aliyeongoza bila kijua kwanini nchi yake maskini.
 
Rais wa kwanza kualikwa na Obama kutokea Afrika aliposhika madaraka - kumbuka hilo.

Lowassa atazionea wapi?
Hata mimi ningekuwa Obama ningemwalika najua asingekuja bila zawadi.
 
mzungu gani kaimba mkuu???? au wazungu wote kwa pamoja???
 
Aende tu huyu mtu! Uteuzi wake wa lala salama una makusudi na malengo binafsi! Karibu uraiani tule ugali na sombe
 
Aende tu huyu mtu! Uteuzi wake wa lala salama una makusudi na malengo binafsi! Karibu uraiani tule ugali na sombe

Hivi hajaenda huko Msoga anasubiri nini?..inaonekana bado anataka kushiriki uteuzi wa mawaziri....
 
emshazaa boko haram wangapi mpaka sasa?...sorry...haina maana naweza kuonekana mbaguzi wa dini..mwenzetu roho inakuuma kwa maoni yetu eeh..jk hakuwahi kukubalika na watu inteligent ndugu
jk kawaacha mapastor kibao wakijiona hopeless,kakobe,ngwajima etc,walimpiga vita na wakaipiga vita ccm mpaka makanisa still akawa outsmart,chezea luten kanali wewe,
 
kuhusu shehe ponda jk alimvumilia sana mpaka sasa ikabidi amweke ndani,huyo ponda analeta mambo ya uwahabi hapa walati nchi hii ni ya wote,jk si mtu wa kuweka mashehe gerezani bila sababu ya msingi,

wahabiya ndo wanaleta chokochoko zisizo na maana duniani pote leo hii
 
Nimefurahi sana Jk kuondoka madarakani lakini sitegemei jipya ndani utawala wa Magufuli watu ni wale wale.na chama kile kile
 
Hakika miaka kumi iliyopita tulikuwa utumwani MISRI. Asante Bwana Yesu kwa ukombozi huu.
 
Sure kwa umri wake hata kugombea tena anaweza, ataishi mstaafu hadi achukie.

Mkuu mbona umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria ni 60yrs na watu wanastaafu kila leo iweje yeye ndo umuone kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…