Binafsi ni maoni gani utabaki kuwa na msimamo nayo haijalishi hata kama ukiwekwa mtu kati namna hii?

haijarishi ni nguvu,mbinu gani itatumika ila siwezi kuacha kutafuna nyama ya kuku mkuu.
Tuko pamoja😁😁😁

Alfu unakuta marinated na kukaangwa na viungo kitalamu
 
Binafsi;elimu tuliyo nayo ni utumwa kila msomi ni mtumwa alie tengenezwa na ku kubali kuwa mtumwa kwa hiari yake.
 
Miaka 1000 ijayo kutakuwa na Jamii ya maroboti na watakuwa wanaambiana kuwa binadamu hakuwatengeneza bali wali evolve wenyewe toka kwenye Vaccum cleanerπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

I mean no malice to nobody😁😁😁
 
Miaka 1000 ijayo kutakuwa na Jamii ya maroboti na watakuwa wanaambiana kuwa binadamu hakuwatengeneza bali wali evolve wenyewe toka kwenye Vaccum cleanerπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

I mean no malice to nobody😁😁😁
Hakika itakuwa hivi

Kama vile hamas wanasema wao ndio wana israel halisi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…