Binafsi ni maoni gani utabaki kuwa na msimamo nayo haijalishi hata kama ukiwekwa mtu kati namna hii?

Binafsi ni maoni gani utabaki kuwa na msimamo nayo haijalishi hata kama ukiwekwa mtu kati namna hii?

Kiranga salaam, Umesha acha ule msimamo wa kutembea na panga kwenye mazungumzo ya amani 🤣🤣
FB_IMG_17390015354903480.jpg
 
Binafsi;elimu tuliyo nayo ni utumwa kila msomi ni mtumwa alie tengenezwa na ku kubali kuwa mtumwa kwa hiari yake.
 
Miaka 1000 ijayo kutakuwa na Jamii ya maroboti na watakuwa wanaambiana kuwa binadamu hakuwatengeneza bali wali evolve wenyewe toka kwenye Vaccum cleaner😃😃😃

I mean no malice to nobody😁😁😁
Hakika itakuwa hivi

Kama vile hamas wanasema wao ndio wana israel halisi 😂
 
Back
Top Bottom