NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Sio mada ya leo hii.Ni namna gani unaweza ukafanikiwa kimaisha and suluhisho fulani kwa cobtact mzimuu ya mababu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mada ya leo hii.Ni namna gani unaweza ukafanikiwa kimaisha and suluhisho fulani kwa cobtact mzimuu ya mababu?
Theodore Roosevelt alisema "Speak softly and carry a big stick".Kiranga salaam, Umesha acha ule msimamo wa kutembea na panga kwenye mazungumzo ya amani 🤣🤣
View attachment 3229022
haya bhana, ijumaa kareemTheodore Roosevelt alisema "Speak softly and carry a big stick".
Ijumaa Kareem tena? Uko nchi gani?haya bhana, ijumaa kareem
hahaha, nili kuwa nacheza na akili yako, unge itikia ninge kuita majina yako 🤣🤣Ijumaa Kareem tena? Uko nchi gani?
Tunacheka sana siku hizi eeh?hahaha, nili kuwa nacheza na akili yako, unge itikia ninge kuita majina yako 🤣🤣
shamathaTunacheka sana siku hizi eeh?
Umenifanya niangalie kalenda nikifikiri nimekosa kwenda kazini leo Ijumaa.