Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

Wewe ndiye unalazimisha kusema ukijuwepo kabla....Usiforce kwa upande wako Yesu hakuwa mkristo basi thibitisha.
 
Nyinyi huwa mnatafuta nini kwenda kuwachungulia na kuwapeleleza waislamu wanavyofuturu?!
Si muangalie mambo ya ugalatia wenu ?!
Kwanini mfatilie futari na daku za waislamu?! Kama sio umbea na viherehere ni nini?!

Waache kelele misikitini kuanzia saa 2 hadi 4 usiku. Wanarudia mambo yale yale kwa muda wa masaa mawili
 
Ukristo sio dini Quran imekosea na ndo kitabu mnachokiamini
According to waislam ukristo sio dini

According to sociology and other humanity sciences, uislam siyo dini bali ni mila, desturi na tamaduni za kiarabu ambazo mara tu unavyokuwa mfuasi wake lazima uzifuate. Utalazimika kujifunza lugha nyingine, kuvaa mavazi tofauti, majina utalazimika kubadili, mapishi utabadili pia. Utalaminishwa kwamba ili ibada yako ikubalike lazima utumie lugha hususa, uangalie uelekeo hususa, uvae mavazi hususa nk. Kwa ufupi, ubadili utaratibu wako jumla wa maisha.
 
Huko DRC Kuna jamaa wanauana pia ni waislamu waliotoka Syria ndio wanaua watu DRC na Ukraine?

Bro Usijisahaulishe mziki wa huko Sudan 🇸🇩, Somalia 🇸🇴, Libya 🇱🇾, Afghanistan 🇦🇫 na Middle East nzima ambayo ina watu wa alahu na Muhammad, lakini damu inamwagika kama haina mwenyewe
 
Sijui kwa nini nikimuona mtu anahangaisha akili juu ya hizi imani huwa namdharau.

Kwani ukisimama unapopaamini wewe na kuheshimu wengine hata kama unawaona hawapo sahihi utapungukiwa nini?

#HebuMkue.

Shida ni kelele. Yaani wanaanza kuwasha mapaza sauti yao kuanzia saa 2 usiku mpaka 4 usiku. Hiyo ni noise pollution. Na ina athiri sana afya ya jamii. Wazia kama eneo hilo kwa ukaribu lina wazee, watoto, wagonjwa. Hali itakuwaje?
 
Utaratibu wa kufunga Kwa Wakristo umeelezwa kwenye Biblia.
Matayo 6: 16 - 18 ("Tena mfungapo msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga.

Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, na Baba Yako akuonaye sirini atakujazi")
 
Wewe ndiye unalazimisha kusema ukijuwepo kabla....Usiforce kwa upande wako Yesu hakuwa mkristo basi thibitisha.
Nani amekuambia Yesu alikuwa mkristu??....

Ama hujui wakati wa Yesu alitumia agano la kale kama biblia, kwa hiyo Yesu aliisoma zaburi na torati miaka mingi kabla hata uislamu haukuwepo duniani..

Baada ya Kristu kumekuwa na Agano jipya ambalo linatimiliza torati iliyokuwepo muda mrefu. Kwa hiyo kristu angeufuataje ukristu ilhali ni Yeye Ndiye ameileta Agano jipya lililozaa ukristu. Ukristu umeanza baada ya kristu , ni za la Agano jipya lililotimilizwa lakini haimaanishi Agano la kale halifuatishwi. Bado linathaminika

Kwa hiyo msiwe mnakaririshwa mambo nanyi mkayameza tu. Fungua akili ufuate iliyo kweli

Siukashifu uislamu ili niupandishe ukristu kwa sababu nimefundishwa kuwa na heshima, ustahimilivu na uelewa wa mambo ya dini. I wish watu wengi mngekuwa hivyo pia
 
Kwenda kufuturu mbona maaskofu wako wanaenda😅😅... Ramadan ni heshima hata nyie mnakuja ofisini mmevaa vizuri ...Jamaa anaumia hata wao hawafungi .
Maaskofu wanakwenda kufuturu ili kuimarisha utengamano na umoja.Ukinionesha picha ya askofu au Padre anafuturisha wakristu najitoa JF.
Funga ni ya kwako wewe na Mungu umuombaye toba na si matangazo wala heshima kama unavyodai
Tafadhali soma Isaya 58:2-11
Msingi wa funga ya wakristu unajengwa hapo.
2 Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu.
3 Husema, Mbona tumefunga, lakini huoni? Mbona tumejitaabisha nafsi zetu, lakini huangalii? Fahamuni, siku ya kufunga kwenu mnatafuta anasa zenu wenyewe, na kuwalemea wote watendao kazi kwenu.
4 Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu. Hamfungi siku hii ya leo hata kuisikizisha sauti yenu juu.
5 Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Ni siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake? Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na Bwana?
6 Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?
7 Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?
8 Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulinde.
9 Ndipo utaita, na Bwana ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;
10 na kama ukimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi yako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani; na kiwi chako kitakuwa kama adhuhuri.
11 Naye Bwana atakuongoza daima, ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; nawe utakuwa kama bustani iliyotiwa maji, na kama chemchemi ambayo maji yake hayapungui.
 
Ungeanza kumwambia ndugu yako mleta mada kwanza ,.
 
Weka ushahidi wa maandiko ya hayo mashariti ya wakristo kufunga

Au Papa ndio kapanga hizo Sheria?
 
Usijindanganye wakristo wengi hatufingi chakula,kwa idadi yetu kama tungekua tunafunga Soko la vyakula lingetikisika sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…