Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

Kuna mkuu mmoja pale juu ameelezea vizuri hili la kwanini yesu alifunga siku 40 usiku na mchana na wakristo hawafungi Kwa Utaratibu huo,Mimi nimejifunza vizuri sana kwenye paragraph zake
 
c huwa wanajianika mabarazani na kando kando ya njia wakati wa kula kujionyesha walifunga
Hujui ile maana yake nini kaa kimya. Ngoja nikufahamishe, katika uislam funga ni moja ya nguzo zake hivyo ni lazima kwa muislamu kufunga isopokua kuna makund malaam yameshabainishwa mfano mgonjwa, mama anaenyonyesha, mjamzito nk.
Hivyo kufuturu barazani maana yake hata ambao hawana uwezo wa ku afford futari waweze kujumuika na wanao futuru kuliko kujifungia ndani hawa wasio na iwezo watashindwa kutimiza nguzo hii.
 
Hapa utagundua Matatizo la Mleta Uzi
 

Attachments

  • 0BD0FF07-BF54-4E25-B580-ABE36FABF510.jpeg
    350.5 KB · Views: 1
Nyinyi hamna mfungo kulingana na biblia Yesu alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
 
Umekaa zako unajitafakari ghafla anakuja mtu anakugusa “vipi kaka,swaumu kali nini?dah maana ya leo!” unainua shingo unajichekesha kidogo kutafuta cha kumjibu kabla hujajibu yule anayekujua sana (mshkaji wako) anamwambia “aah huyo si anaitwa Alex,hawafungagi hao,kufunga niulize mimi”

Mimi huwa nabaki nawaangalia tu
 
Asante sana.sifa na utukufu ni Kwa Mungu.

Tena aliyekwambua sie mwisho kula sa tano usiku kakudanganya, hakuna mkristo anaefunga anakula usiku huo
Tukishafungua sa kumi na mbili wachache wanakula sa mbili kidogo basi mpk kesho tena
 
c huwa wanajianika mabarazani na kando kando ya njia wakati wa kula kujionyesha walifunga
Na mkialikwa kuja kufuturu mbona hamkatai?!
Hamuogopi kuvimbiwa ?!
Hawa hapa masisita wa kanisa katoliki wakiwa wamejianika kwenye futari pamoja na waislamu!.
Tatizo mkikosa mwaliko ndio mnachukia na kuanza kutoa maneno mabaya , mkialikwa mnawahi siti za mbele kuwatangulia hata hao waislamu waliofunga!.
 

Attachments

  • images(28) (1).jpg
    64.4 KB · Views: 1
  • images(26) (2).jpg
    41.3 KB · Views: 1
Nimecheka ujue
Yaani km sifa hivi
 
Nimecheka ujue
Yaani km sifa hivi
 
Maaskofu wenu, wachungaji na maparoko wakialikwa iftaaaaaari ikulu au kwa kiongozi yoyote wa mkoa au wilaya au kwa tajiri fulani wanakuwa wakwanza kuwahi nafasi kuwashinda hata hao waislamu waliofunga na mkitaka ushahidi wa picha naweka!.
Ni wapumbavu tu na hawajui km chakula ni ibada.
Mwisho wa siku wanaishia kuwa wapuuzi nguvu za Mungu hakuna inabaki story, watumishi wa kweli wa Mungu, maaskofu na wachungaji wa kweli huwezi kuwakuta kwenye hivyo vyakula sbb wanaelewa chakula ni Cha kiroho sio Cha kimwili.
 
sasa kwa nini mnachukia ukiona mtu anakula hadharani tena wengine huenda mbali kwa kumpiga mtu anayekula hadharani
 
Siku hizi post za maana zimeisha, lengo la post yako ni kushindanisha funga au!!! Wakubwa sasa nyie, haya mambo ya kiuchizi hayafai, kama kweli umefunga kwaresma au yoyote Ile, ajuaye ni Mungu wako, sasa unafunga halafu unawasema wenzako kuwa hawana kitu, huo ni ujinga.
 
Asili Ya kitu Huwa hakipotei Kwa hiyo Yesu Alisimama kwa Neno la Mungu?
Mi nilijua utaandika kama hivi:

Yesu alisimama kwa Neno lake!
Wakristo hamna tofauti na Wahindi wanao Amini Ng'ombe Ni Mungu Wote Akili kisoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…