Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

Basi unavimbaje unajiona Mungu uko Naye wewe peke yako. Mbona unachinja kulazimisha watu waione pepo si uwaache waje kuungua na moto. Unajichukulia Sheria kuua kiumbe wa mUngu , unadhani yeye akashindwa kumuadhibu Ila wewe umejipa mamlaka hayo ukitegemea bikra mia mbinguni.
Mbona dini inaenea kwa vita na kwa kuua watu , jihad jihad yaani unaua mtu unasema Allah Akbar Ile elewa Allah
 
Katika ukristu, funga ni SIRI
View attachment 3269499


Ila tusiwanyime waislamu maua yao. Wapo serious na mfungo kuliko wakristu ndio maana wanapoanza kufunga, impact inaonekana kwa uharaka..
Labda tuulizane mimi na wewe hapa,wewe umefunga?(Unajijua mwenyewe na nafsi yako) Then kama umefunga jua ipo jamii kubwa ndani ya imani inashiriki 100 percent kama wewe.

Ikishakuwa siri hatutegemei impact kubwa huwezi kukuta Mkristo akimuuliza mwenzake habari za funga yake japo wapo wachache waliokengeuka kutaka kufahamu funga za wenzao,na hiyo impact unayoiona kwa hao uliowataja inatokana na wao kuulizana kama wamefunga au hawajafunga na hapo wote aliyefunga na asiyefunga jibu ni ”nimefunga” lakini ukweli wengi hawafungi hivyo.
 
Yawezekana ila mfano mdogo tulipokuwa boarding school, kipindi cha mfungo. Ni nasta kumuona muislamu anachukua uji au chakula cha mchana ila ni wakristu wengi walikuwa wanachukua. Kwa hiyo tumetofautiana kiasi

Lakini point ya kuonesha ni kweli, wakristu wengi wakifunga ni ngumu kujua tofauti na waislamu ambao hujionesha na, kuzungumzia swaumu zao kila mara
 
Kila MTU ashinde mechi zakeeeee babu.

As long as hawavunji Sheria, basi kila MTU awe huru afanye vile vinavyo mpa Amani ya moyo na akili....


Sema nini kwenye dini watu wa middle east walizo zileta walituweza saaana waafrica
Amini nakuambia hata huko middle east hizi kwa sasa awazizingatii kama ilivyo africa
 
Ukweli usemwe sisi wanaofunga ni chini ya 5%. Sio kwamba hatuna mbwembwe ukweli ni kuwa wengi wetu hatufungi.
Tuulizane individual hapa,wewe ndugu umefunga?

Sikupaswa kukuuliza hili lakini kutokana na hoja yako imebidi nikuulize.
 
We ni kichwa maji Sasa huoni hizi ni dini mbili tofauti? Zingekua sawa c ingekua dini Moja
 
Wakristo wamegawanyika sana na wengi wao kufunga kwaresma sio takwa la kiimani hiyo wengi hawafungi. Hii ni tofauti na waislam ambao kufunga ni takwa la kiimaniso lazima funga yao isikike kwa nguvu.
 
Kila MTU ashinde mechi zakeeeee babu.

As long as hawavunji Sheria, basi kila MTU awe huru afanye vile vinavyo mpa Amani ya moyo na akili....


Sema nini kwenye dini watu wa middle east walizo zileta walituweza saaana waafrica
Umefunga ama umeshinda njaa??
 
Kuna mkuu mmoja pale juu ameelezea vizuri hili la kwanini yesu alifunga siku 40 usiku na mchana na wakristo hawafungi Kwa Utaratibu huo,Mimi nimejifunza vizuri sana kwenye paragraph zake
Wafuasi wa Yesu wanamfuata Yesu na wafuasi wa huyo mkuu watamfuata huyo mkuu.
 
Hao wanaouana huko Kongo na Ukraine wanauana ili kueneza dini gni?! Wewe hapo kuna mtu kakulazimisha kuwa mwislamu au kuna anayekwazika na ukafiri wako?!
Mbona mnapenda kuwasingizia waislamu mambo ambayo hayapo?!
Hivi hayo mnayoyazisha kuwa waislamu wanawalazimisha makafiri kusilimu kwa upanga kama hayo yangekuwa kweli unadhani Bado Tanzania ingeendelea kuwa kisiwa Cha amani?!
 
Umekutana na wakristo wangapi waliofunga, lini, na wapi?
Kwao maana ya kufunga ni ipi?
Tujifunze kufanya tafiti kabla ya kuandika
 
sasa kwa nini mnachukia ukiona mtu anakula hadharani tena wengine huenda mbali kwa kumpiga mtu anayekula hadharani
Wewe ulishawahi kupigwa kisa umekula hadharani au unaleta hadithi za Abunuasi?!
Mimi nipo Moshi mjini na ninafunga mimi na waislamu wengine, na hapa mama ntilie na migahawa kutwa nzima watu wanakula hadharani wala sisi hatuoni shida yoyote kwasababu dini yao inawaruhusu kula mchana kama watakavyo!
Sio migahawa tu bali hata vilabu vya walevi na bucha za nguruwe zinafanya kazi mchana wa Ramadhani wala hakuna muislamu anayelalamika wala kunung'unika!.
Sasa habari za kwamba sisi tukiona mtu anakula mchana tunaumia naona kama HADITHI ZA PAUKA PAKAWA!.
 
Wakristo wanafunga kwa andiko gani katika Bible lililo wataka wafunge mchana na kufungua usiku?
 
Hizi picha umeziangalia vizuri?!
Hawa watawa wa kanisa katoliki pia unaweza kuwaita wapumbavu?!
 

Attachments

  • images(28) (1).jpg
    64.4 KB · Views: 1
KILA FUNGA INA MISINGI YAKE.
FUNGA HAZIFANANI WALA HAZIFANANISHWI.....
 
Ongezea na hii.... Hakuna kufatiliana kama umefunga kwani kufunga ni kati ya mtu na Mungu na siyo kuwindana nani anakula ili kuchapana viboko na kupeana majina ya ajabu ajabu.
Kwa andiko gani katika bible lililo kuamrisha ufunge Kwalezma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…