Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Basi unavimbaje unajiona Mungu uko Naye wewe peke yako. Mbona unachinja kulazimisha watu waione pepo si uwaache waje kuungua na moto. Unajichukulia Sheria kuua kiumbe wa mUngu , unadhani yeye akashindwa kumuadhibu Ila wewe umejipa mamlaka hayo ukitegemea bikra mia mbinguni.Ukisikia muislamu anasema ukristo sio dini huyo mtu kakosa elimu sahihi ya dini!
Iwe kuabudu masanamu ni dini , kuabudu misalaba ndio isiwe dini!
Kwa taarifa yako hata upagani ni dini!
Dini ni aina yoyote ya mfumo wa maisha ambao mtu kauchagua kuwa ndio mwongozo wa maisha yake.
Kwa hiyo yule anayeabudu mizimu basi hiyo ndiyo dini yake na anayeabudu jua, mwezi, nyota, moto, mawe nk hcho anacho kuabudu na utaratibu wa kuabudu hiyo dini yake !
Kwahiyo uislamu ni dini, ukristo ni dini, uyahudi ni dini, ubudha ni dini, uhindu ni dini, ubaniani ni dini nk.
Dini ziko nyingi sana ila DINI YA HAKI NA SAHIHI MBELE YA ALLAAH NI UISLAMU kama alivyosema mwenyewe Allaah katika Suurat Aali Imrani Aya ya 19 ya kwamba :,
"{ إِنَّ ٱلدِّينَ عِندَ ٱللَّهِ ٱلۡإِسۡلَٰمُۗ
Bila ya shaka Dini (ya haki na sahihi)mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. "
Na akasema pia katika sura hiyohiyo Aalu Imrani Aya ya 85 ya kwamba :.
"{ وَمَن يَبۡتَغِ غَيۡرَ ٱلۡإِسۡلَٰمِ دِينٗا فَلَن يُقۡبَلَ مِنۡهُ وَهُوَ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ }
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kupata hasara"
Mbona dini inaenea kwa vita na kwa kuua watu , jihad jihad yaani unaua mtu unasema Allah Akbar Ile elewa Allah