Uchaguzi 2020 Binafsi nimpongeza sana Tundu Lissu kugombea Urais 2020

Haya mpeni hizo kura zenu. Tunaoelewa hizi vitu tunajua kinachoendelea, tunaenda na JPM. Na nguvu zetu haziko mitandaoni siku hizi ziko kwa wananchi
Kipi kinaendelea funguka acha woga
 

..Tundu Lissu siyo mtu wa vurugu au visasi.

..siku zote ameendesha harakati zake kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

..huyu bwana amepigwa na kunyanyaswa muda mwingi wakati akitetea wanyonge lakini hajawahi kumlipizia kisasi mtu yeyote yule.
 
We unafikiri hao waliomtendea ubaya watasalimika?? Hukumu yao yaja haiko mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na alikuwa anatetea wazungu kuendelea kuchukua makinikia
 
Amepona??

Maana katiba ambayo yeye anaijua vzr inasema miongoni mwa sifa za mtu kugombea urais wa nchi yetu ni kuwa na AKILI TIMAMU asiyesumbuliwa na MARADHI YA AKILI AU MWILI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwapo Tundu LIssu atagombania nafasi ya Uraisi kupitia United Front atashinda kwa "Landslide"..eeMungu endelea kumpa baraka zako apone haraka..timu imekamilika.
 
Hapana, aanze hiyo hiyo 2020, apige kampeni ya kufa mtu, hata akikosa hiyo 2025 anamalizia tu.
Fatilia japo kidogo hitoria ya Lissu uniambie wapi aligombea na kushindwa
 
Kabla ya kufikiria kugombea Urais atuambie fadhila za gharama ya matibabu yake ambayo mpaka sasa hayajulikani ni kiasi gani atalipa je? Ni hatari kwa mtu anayetafuta kuwa rais wa nchi akawa amelipiwa matibabu na watu tunao jua wana maslahi yao ya kificho na yasiyo ya kificho hapa nchini.

Atajiepusha vipi na tuhuma za kuwa rais ambaye ni pandikizi la walipia matibabu ughaibuni na kutuondolea shaka kuwa hatatumikia na kutumiwa kwa masilahi za wafadhili wa matibabu.
 
Lisu akigombea italazimu mambo yote ambayo hayajatimizwa yatimizwe ghafla
 
A funny way of reasoning. Kwa hiyo wanaopelekwa India kila kesho na sirikari wanakuwa na mkataba kuishangilia sirikari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…