Binafsi press conference ya Zuhura Yunusu sijaiekewa, alielewa anifafanulie mambo haya matatu

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
1. Mikataba 15 iliyosainiwa na serikali haikutajwa.kuna haja gani kuita press conference ukashindwa kuainisha mikataba. Kama kuna alieielewa anisaidie humu

Mh Waziri wetu wa fedha ameulizwa zaidi ya parachichi na mabondo ni bidhaa gani zaidi zimeruhusiwa. Jibu akasema ni bidhaa za majini kama mabondo nk. Hili jibu hata wanangu wa nursery wangelikataa.

2. Macho ya watanzania yanasubiri kusikia ni lini serikali itasema lolote juu ya mega project ya bagamoyo. Waandishi wa habari bahati mbaya hawakuuliza kama ni kati ya mikataba 15 iliyosainiwa.

3. Binafsi niliona kama inakuwa ngumu kuzitaja products clearly zinazoruhusiwa sokoni uchina kama kuna mwana jf alibahatika kuzifahamu naomba anisaidie humu.

Nitashukuru. MUNGU ibariki JF yetu.
 
Achana nao mkuu... utazeeka bure!
 
Back
Top Bottom