Kwanini udhalilishe watu huyo jamaa unayemwambia sijui anatoka kimapenzi na mondi ana mke na masuala ya mavazi ni kazi yake uoni ni Kama kumkosea heshima
Sijataja jina mieeeeh kwahiyo usihusishe usichokijua, halafu pia pole yako kwa kudhan kuoa ndo kunazuia Hilo kuwepo ili Hali ni interest ya mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Usioongee vitu ambavyo huna ushahidi navyo mtu mwenyewe humjui zaidi ya kumuona kwenye social media.Hiv kwa mfano akakuchukulia hatua za kisheria wewe utajitetea Nini mahakamani? Tumia mkono wako vizuri kuandika vitu vyenye kujenga kuliko kutuumu vitu ambavyo huna uhakika navyo.