Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijataja jina mieeeeh kwahiyo usihusishe usichokijua, halafu pia pole yako kwa kudhan kuoa ndo kunazuia Hilo kuwepo ili Hali ni interest ya mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwanini udhalilishe watu huyo jamaa unayemwambia sijui anatoka kimapenzi na mondi ana mke na masuala ya mavazi ni kazi yake uoni ni Kama kumkosea heshima
Usioongee vitu ambavyo huna ushahidi navyo mtu mwenyewe humjui zaidi ya kumuona kwenye social media.Hiv kwa mfano akakuchukulia hatua za kisheria wewe utajitetea Nini mahakamani? Tumia mkono wako vizuri kuandika vitu vyenye kujenga kuliko kutuumu vitu ambavyo huna uhakika navyo.Sijataja jina mieeeeh kwahiyo usihusishe usichokijua, halafu pia pole yako kwa kudhan kuoa ndo kunazuia Hilo kuwepo ili Hali ni interest ya mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1376514