fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Ninashangaa mno kuwa mpaka sa ivi tuna watu wenye uwezo wa kudukua mawasiliano ya watu ila amna mwenye wazo zuri laku rahisisha watanzania wote kupiga kura.
Yani kwa jinsi bus la teleology linavyo kwenda kasi basi watu pia tunatakiwa tuendane na iyo kasi japo kwa maendeleo tu.
Naomba ushaguzi ujao hali isiwe ivi kupangishana mistari kama tunaenda pakuliwa makande.
System ya kupiga kura inatakiwa iwe ya kisasa kuepusha jam na wengine tuendelee na ishu za maendeleo sio kupanga mstari sa 12 asubuhi mpka 12 usiku tutakula mstari?
IT embu shirikianeni mje na wazo zuri la kuepusha ili tatizo acheni dukua tu maongezi ya watu mtajipa kisukari.
Mod mnatabia chafu mda mwingine.