fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
- Thread starter
- #21
Ivi kumbe sasa embu nidokeze ilitokea nini?Kutumia technology kwenye kupiga kura ni sawa na kudai rasimu ya katiba ya warioba mbele ya chama tawala hivyo sahau hiyo habari unayo idai ingawa technology hiyo ipo siku nying na kenya wamewahi kuitumia mara moja lakini walipo ona ina sema ukweli tupu wakarudi kwenye kupanga folen na makaratasi kwa sababu kina urahisi