Binafsi sioni umuhimu wa Teknolojia kama bado tunapiga kura kwa kupanga mstari

Ivi kumbe sasa embu nidokeze ilitokea nini?
 
Walioendelea kiteknolojia wanapigaje? Mbona nao wanapangaga mistari? Na je uchaguzi wa safari hii ni wapi kulikua na jam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…