MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Binafsi nimefurahi baada ya maamuzi yaliyochukuliwa mpaka sasa, Ikiwemo CEO wa bodi ya Ligi Bwn. Almas Kasongo kutimuliwa, Na Bwana Mguto kujiuzulu huku derby ikisogezwa mpaka tarehe 25 June 2025.
Ningeshangaa sana kama kusingekuwa na uwajibikaji baada ya unajisi wa football uliotokea tarehe 8 march 2025,
Huu tayari ni ushindi kwetu na kwa wapenzi wa football, Hata Yanga tusiponyanyua ndoo msimu huu, binafsi roho nyeupeee naona haki imetendeka, anayestahili apate.